Distrobird — Free Sales Engagement Platform
Sequences, cloud call center, shared inbox, form tracking and more — on a single platform. Double your sales team's output with fewer tools.
Create a sequence — it's free
Biwo
bright initiative for women orgarnization ( biwo ) jumuiya hii itajishughulisha na masuala yanayowagusa wanajamii hapa zanzibar hususani wanawake na vijana ili kuweza kujiletea maendeleo na kuandaa mbinu mbadala na madhubuti katika kupambana, kujikinga na kukabiliana na matatizo mbali mbali ya yanayoweza kutokea ndani ya jamii yakiwemo madawa ya kulevya, uharibifu wa mazingira, mimba za utotoni, ajira za utotoni, umasikini na maambukizo ya virusi vya ukimwi. jumuiya itajikita juu ya suala zima la utoaji elimu kwa jamii kwani inaonekana ukosefu wa elimu juu ya mambo mbalimbali ya kijamii ndio chanzo cha matatizo yanayoikabili jamii ya vijana wa zanzibar. hii itasaidia vijana kuweza kujikomboa na umasikini uliokithiri kwa kuwaongezea upeo wa kubuni njia mbalimbali na kuweza kujipatia ajira
Frequently asked questions about Biwo
Let us help answer the most common questions you might have.
Where is Biwo located?
Biwo's headquarters is located at Zanzibar, Zanzibar Urban/West, Tanzania
What is Biwo's official website?
Biwo's official website is biwo.or.tz
What are Biwo's social media links?
Biwo Linkedin page
Distrobird — Free Sales Engagement Platform
Sequences, cloud call center, shared inbox, form tracking and more — on a single platform. Double your sales team's output with fewer tools.
Create a sequence — it's free